SERA YA MAREJESHO
Castilla Movies and Series ni jukwaa la mtandaoni linalotoa huduma ya upatikanaji wa filamu na series kwa njia ya kidigitali.
Kwa sababu huduma zetu ni za kidigitali, mara baada ya malipo kuthibitishwa na mteja kupata ufikiaji wa maudhui, malipo hayo kwa kawaida hayarudishwi.
Hali Zinazoruhusu Marejesho
Hata hivyo, marejesho ya malipo yanaweza kufanyika katika hali zifuatazo:
1
Endapo mteja amelipa lakini hakupata kabisa huduma aliyolipia.
2
Endapo kumetokea hitilafu ya kiufundi katika mfumo wetu iliyosababisha mteja kushindwa kupata huduma.
3
Endapo kumetokea malipo ya kurudiwa kwa bahati mbaya (duplicate payment).
Kwa maswali au msaada wowote kuhusu malipo, tafadhali wasiliana nasi:
Ukurasa wa Mawasiliano